Habari za Punde

WAZIRI MKUU ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADDAFI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua iliyosomwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajab Shaaban, katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Novemba 20,  2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa BAKWATA Mkoa wa Dodoma, Jafar Mwanyemba, mara baada ya sala ya Ijumaa,  kwenye Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajab Shaaban  (kulia) baada ya kushiriki katika  sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Novemba 20,  2020. Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.