Habari za Punde

Hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad,

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020.(Picha na Ikulu)
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Kiongozi Mkuu wa Chama cha  ACT-Wazalendo Zito Kabwe, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Saharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya Kiapo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020.(Picha na Ikulu)  

 MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo 8/12/2020.(Picha na Ikulu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.