Habari za Punde

Makamu wa Rais Mama Samia ashiriki kuuaga mwili wa Jaji Mstaafu Horald Nsekela

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimfariji Mjane wa  Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Marehemu Harold Nsekela wakati wa kuaga Mwili wa Marehemu leo Disemba 08,2020 katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Disemba 08,2020 amehudhuria kuaga Mwili wa  Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Marehemu Harold Nsekela katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za Mwisho mbele ya Jeneza lenye  Mwili wa  Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Marehemu Harold Nsekela katika Viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma  leo Disemba 8

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.