Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akagua ujenzi wa nyumba za askari polisi zilizopo eneo la Finya,Wilaya ya Wete, Pemba

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (katikati), akiongozana na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Hassani Haji (kushoto)leo, kuingia ndani ya nyumba za askari polisi zinazojengwa eneo la Finya,Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kushoto), akiongozana na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi Zanzibar wakati wa Ukaguzi wa nyumba za askari polisi (zinazoonekana pichani)leo, zilizopo eneo la Finya, wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (wapili kushoto), akiongozana na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi Zanzibar kutoka ndani ya nyumba za askari polisi zilizopo eneo la Finya,Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ukaguzi wa miradi iliyopo katika taasisi za wizara yake,leo Kisiwani Pemba.Picha  na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia), Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Hassan Haji, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Juma Sadi Hamis na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu wakiangalia paa la moja ya nyumba za askari polisi zinazojengwa eneo la Finya, wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakati wa ziara ya naibu waziri kukagua miradi ya taasisi zilizopo chini ya wizara yake, leo Kisiwani Pemba.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi  
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.