Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mji Mkongwe, Issa Sarboko akitoa maelezo kihusiana na Uhifadhi wa Mji Mkongwe unaotambulika kama urithi wa Dunia katika Mkutano wa Rais pamoja na wadau wa Mji Mkongwe kuzungumzia maswala mbalimbali ya Mji Mkongwe hafla iliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Leila Mohamed Mussa akitoa maelezo kuhusu Jengo la Beit El Ajaib katika Mkutano wa Rais pamoja na wadau wa Mji Mkongwe kuzungumzia maswala mbalimbali ya Mji Mkongwe hafla iliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika Mkutano uliowakutanisha Wadau wa Mji Mkongwe mkutano Uliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT,Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba katika Mkutano uliowakutanisha Wadau wa Mji Mkongwe mkutano Uliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Zanzibar.
PICHA NA YUSUUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment