Habari za Punde

CIFCA yaandaa semina kuhusu mfumo wa fedha wa kiislamu

Mmoja katika waalikwa wa semina Sheikh Khalfan akitoa mada vipi tunaweza kujiwezesha kupitia Uislam Sheikh Khalfan katika  semina inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini

Mkurugenzi wa Islamic Banking Division PBZ,  Said M. Said akitoa mada kwenye semina ya siku moja  inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Mwanzilishi wa Islamic Banking Services Zanzibar , Juma Amour akitoa mada kwenye semina ya siku moja inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Mwenyekiti wa CIFCA Alhaj Arif Nahd, akitoa mada kwenye semina ya siku moja  iliyoandaliwa na CIFCA inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa makini kurekodi na kuifuatilia kwa karibu semina inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Mgeni rasmin katibu mendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar, Mwita Mgeni Mwita akiifungua semina  inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Baadhi ya washiriki waliohudhuria semina inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Sheikh Ahmad Haidar Jabir akitoa mada kuhusu Riba katika zama zetu za leo kwenye semina inayohusiana na mfuko wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Profesa Ahmed Hikmany akiifunga semina ya siku moja inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini


 

1 comment:

  1. Ahsante sana kwa kutuhabarisha kuhusu hizi juhudi muhimu

    Jamii inahitaji kuelimishwa kuhusu fursa mbadala zilizopo ktk kuekeza mapato yao au kupata fursa za mitaji ya kuekeza.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.