Mwanzilishi wa Islamic Banking Services Zanzibar , Juma Amour akitoa mada kwenye semina ya siku moja inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Mwenyekiti wa CIFCA Alhaj Arif Nahd, akitoa mada kwenye semina ya siku moja iliyoandaliwa na CIFCA inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa makini kurekodi na kuifuatilia kwa karibu semina inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Mgeni rasmin katibu mendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar, Mwita Mgeni Mwita akiifungua semina inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Baadhi ya washiriki waliohudhuria semina inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Sheikh Ahmad Haidar Jabir akitoa mada kuhusu Riba katika zama zetu za leo kwenye semina inayohusiana na mfuko wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Profesa Ahmed Hikmany akiifunga semina ya siku moja inayohusiana na mfumo wa fedha wa kiislamu iliyofanyika leo katika ukumbi wa Masjid Jaamiatu Zinjibar, Mazizini
Ahsante sana kwa kutuhabarisha kuhusu hizi juhudi muhimu
ReplyDeleteJamii inahitaji kuelimishwa kuhusu fursa mbadala zilizopo ktk kuekeza mapato yao au kupata fursa za mitaji ya kuekeza.