RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza azma ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulkia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika ujenzi wa jengo la Beit al Ajaib baada ya kuporomoka sehemu kubwa ya jengo hilo hivi karibuni.
Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo Ikulu Jijini Zanzibar wakati alipokuwa na mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika
la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bw.Tirso Dos
Santos.
Rais Dk. Mwinyi alimueleza Mwakilishi huyo wa (UNESCO)
kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
inathamini sana uhusiano na ushirikiano uliopo kati yake na Shirika hilo, hivyo hatua yake hiyo ya kuinga mkono
Zanzibar katika kulifanyia matengenezo jengo la Beit al Ajaib ni uthibitisho mkubwa.
Alieleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ilianza kuchukua hatua za makusudi mara tu baada ya kutokea tukio hilo ikiwa ni pamoja na kuunda Kamati ya Uchunguzi ya sababu zilizopelekea kuanguka kwa jengo hilo
la Beit al Ajaib huku yeye mwenyewe akikutana na Wadau wa Mji Mkongwe kujadili tukio hilo kwa azma ya kutafuta ufumbuzi.
Rais Dk. Mwinyi alitoa ushauri kwa Shirika la (UNESCO) wa kuyafanyia tathmini majengo yote ya Mji Mkongwe wa
Zanzibar ili yasiendelee kuleta athari zaidi.
Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa azma na utayari wa Shirika la (UNESCO) wa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar katika kulijenga jengo hilo la kihistoria ina umuhimu mkubwa katika kuurejeshea hadhi yake Mji Mkongwe wa
Zanzibar ambao umo katika urithi wa dunia.
Pia, Rais Dk. MwinyialifurahishwanaazmayaShirikahilo la kuwaletawataalamukwaawamutatuhapa
Zanzibar ambapokilaawamuitakuwanawataalamu wake ambapoinaoneshaazmasahihiya
(UNESCO) yakushirikianana Zanzibarkatikakulijengatenajengohilokwamtazamo wake
waasilinakwakiwangokilicho borazaidi.
Aidha, Dk. MwinyialimuelezaMwakilishihuyowa (UNESCO)
kwambaSerikalianayoiongozaitahakikishainatoaushirikianomkubwakwatimuhizozawataalamuwatakaokujakufanyashughulihiyohapa
Zanzibar ikiwanipamojanakuwawekeamazingiramazuriyashughulizao.
Sambambanahayo, Rais Dk. MwinyikwaupandemwenginealilipongezaShirikahilokwaazmayakeyakulifanyiaukarabatijengo
la sinemaya MajesticambapotayarinusuyafedhazaujenzihuokwamujibuwaMwakilishihuyozimeshapatikana.
AlielezakuwaShirikahilolimewezakushirikianana Zanzibar
kwamudamrefuhatuaambayoimepelekeakuimarikakwamiradimbalimbaliambayo (UNESCO)
inaiungamkonoikiwemomiradiyaelimu, utamaduni,
afyanamengineyoambayoimepatamafanikiomakubwahapa Zanzibar.
Aidha, Rais Dk. MwinyialitumiafursahiyokulipongezaShirikahilokwakuendeleakushirikianana
Zanzibar nakuahidikuwaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar
itaendeleakushirikiananaShirikahiloilikutekelezamalengoyaliokusudiwa.
MapemanaMwakilishihuyowaShirika la UmojawaMataifalinaloshughulikiaElimu,
SayansinaUtamaduni (UNESCO) Tirso Dos Santos, alimuelezaRais Dk. MwinyikuwaShirikahilolinaazmayakulifanyiama ujenzijengo la Beit-al -Ajaibililirudikatikauhalisia
wake kwakushirikiananaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar.
Mwakilishihuyo,alimuelezaRais Dk. MwinyikuwaShirikahilolitaanzakuletawataalamu
wake kwaajiliyamradihuoambaowataanzakujamnamoJanuari 18 mwakahuuambaowatakujakwaawamutatuilikuhakikishalengolililokusudiwalinafanikiwatenakwamudauliopangwanaufanisimkubwa.
AlimuelezaRais Dk. Mwinyikwamba (UNESCO)
itahakikishainafuatataratibuzotekatikakuhakikishaujenzihuoufanywakwataratibuzotezaKimataifabilayakuathiri
mambo mengine.
Pia, Mwakilishihuyowa (UNESCO), alimuelezaRais Dk.
Mwinyikwambabaadayatimuhizozawataalamukukamilishakazizaoujenziwajengohiloutaanzamaramojahukuakimuelezakuwaamepokeaushaurinawazo
la kuyafanyiatathminimajengoyaMjiMgongwewa Zanzibar.
Pamojanahayo, Mwakilishihuyowa (UNESCO), alimuelezaRais Dk. MwinyikwambaShirikahilolikotayarikulifanyiaukarabatimkubwajengo
la sinemaya Majestic ambalo limo katikaMjiMkongwewa Zanzibar
natayarinusuyafedhazaukarabatiwajengohilozikotayari.
MwakilishihuyoalimpasalamuzarambirambizilizotumwanaMkurugenziMkuuwaShirikahilo
Bi Audrey AzoulaypamojanaMkurugenziwaKituo cha Kimataifa cha UrithiwaDunia BiMechtildRossierkufuatiakuporomokakwajengo
la Beit al Ajaibnakupelekeavifopamojanamejeruhikadhaa.
Sambambanahayo, kiongozihuyoalitoapongezikwaRais Dk.
Mwinyipamojanawananchiwotewa Zanzibar kwakuadhimishamiaka 57
yaMapinduzimatukufuyaJanuari 12, 1964 hukuakisisitiza (UNESCO),
itaendeleakuiungamkono Zanzibar katikamiradiyakembalimbaliiliiwezekuletatijanaufanisi.
Sehemukubwayajengola Beit el
JaaibliliopoForodhaniJijini Zanzibar ambalonimiongonimwamajengoyaurithiwaduniaambapopia,nimiongonimwamajengoyanayotambuliwana
(UNESCO) liliporomokaIjumaayaDisemba 25, mwakajana 2020likiwalinaendeleakufanyiwaukarabati.
Rajab
Mkasaba, Ikulu Zanzibar
Postal Address: 2422 Tel.:0777427449. Fax: 024
2231822
E-mail:
rajabmkasaba@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment