Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Atembelea Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea mabanda ya Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar yanayofanyika katika Viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewev Mama Mariam Mwinyi wakitembelea banda la maonesho la wa Asili Asilia katika maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewev Mama Mariam Mwinyi wakitembelea banda la maonesho la wa Asili Asilia katika maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi alipokuwa akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa kutokana na Mwani na kikundi cha "UKWELI NI NJIA SAFI" chenye maskani yake Bweleo wakati  alipoungana  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  walipotembelea maonesho ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakizungumza na Nd.Maryam Issa Khamis (kulia) Mkaazi wa Fuoni Mambosasa walipokuwa wakiangalia vifaa vya asili kwa matumizi ya Nyumbani katika Banda la kikundi cha 'KAMBA NDEFU GROUP" walipotembelea maonesho ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.