Habari za Punde

DKT. CHAULA: SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA SEKTA BINAFSI KUKUZA MATUMIZI YA TEHAMA NCHINI

KatibuMkuuWizarayaMawasilianonaTeknolojiaya Habari, Dkt Zainab Chaulaakifunguakikao cha wadau cha kujadilimkakatiwakukuzanakuendelezamatumiziyaTEHAMA katikavituovyaafyanashule za msinginasekondarinchinikilichofanyikajijini Dodoma.

MkurugenziwaKiufundiwaMifumokutokakatikaShirikalinalojihusishanakuimarishamifumoyaSektaya umma (PS3+) DesderiWengaaakizungumzakatikakikao cha wadau cha kujadilimkakatiwakukuzanakuendelezamatumiziya TEHAMA katikavituovyaafyanashule za msinginasekondarinchinikilichofanyikajijini Dodoma.KushotoniKatibuMkuuWizarayaMawasilianonaTeknolojiaya Habari, Dkt Zainab Chaula

Baadhiyawadauwalioshirikikikao cha kujadilimkakatiwakukuzanakuendelezamatumiziya TEHAMA katikavituovyaafyanashule za msinginasekondarinchinikilichofanyikajijini Dodoma.


KatibuMkuuWizarayaMawasilianonaTeknolojiaya Habari, Dkt Zainab Chaula (watanokushotomstariwambele)akiwakatikapichayapamojanawadauwalioshirikikikao cha kujadilimkakatiwakukuzanakuendelezamatumiziya TEHAMA katikavituovyaafyanashule za msinginasekondarinchinikilichofanyikajijini Dodoma.

 Na Faraja Mpina, WMTH

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula amesema kuwa Serikali inatambua na kuthamini mchango wa Sekta binafsi katika kukuza na kuendeleza matumizi ya TEHAMA katika Sekta ya afya na elimu nchini.

 Dkt. Chaula ameyazungumza hayo alipokuwa akifungua kikao cha wadau cha kujadili mkakati wa kukuza na kuendeleza matumizi ya TEHAMA katika vituo vya afya na shule nchini kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

 “Serikali inatambua mchango wa Sekta binafsi pamoja na washirika wamaendeleo katika jitihada za kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA nchini, kuna haja ya wadau kushirikiana na Serikali ili kuwa na uratibu mahsusi wa kukuza matumizi ya TEHAMA pamoja na maendeleo yake hasa katika eneo hili la elimu na afya”, Dkt.Chaula

Amesema kuwa kutokananamabadilikonamuingilianowateknolojiadunianihudumanyingizimekuwazikitolewakupitia TEHAMA kitukilichopelekeaSerikalikupitiaWizarahiyokuhakikishakuwahudumazinazotolewanakilammojakwawakati wake zinaendasambambana Sera yaTaifaya TEHAMA yamwaka 2016.

 

Aidha, Dkt. ChaulaamesemaSerikaliimejenganakusambazaMkongowaTaifawaMawasilianoambaondionjiakuuyaupatikanajiwahudumamawasilianoyasimunaintanetinchiniili wananchi nataasisizote za umma ziwezekupatahuduma za mawasilianoyauhakikakwagharamanafuu.

 

NayeMkurugenziwaKiufundiwaMifumokutokakatikaShirikalinalojihusishanakuimarishamifumoyaSektaya umma(PS3+) DesderiWengaaamesemakuwaShirikahilolipotayarikushirikiananaWizarahiyokwakutoausaidiziwawataalamuwakiufundipamojanafedhailikuwezeshautekelezajiwaMkakatiwapamojawamatumiziya TEHAMA katikavituovyaelimunaafyanchini.

 

Kwa upandewaMkurugenziwaIdaraya TEHAMA waWizarahiyoMulembwaMunakuamesemakuwalengo la mkakatihuonikuwekautaratibumahsusiutakaoratibiwanaWizarahiyowaupelekajiwahuduma za TEHAMA mashuleninakatikavituovyaafyaambaounafanywanawatupamojanatasisimbalimbali za umma nabinafsi.

 

Aidha, MkurugenziwaShule Direct, Faraja Kotta NyalanduamesemakuwawaokamawadauwaelimuwanashukuruSerikalikwakuipakipaumbelesektayaelimunchinikwakuandaamkakatiwakukuzanakuboreshamatumiziya TEHAMA shuleniiliwanafunzinawalimuwawezekufanyavizurikwamaendeleoyaTaifa.

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.