Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Ashiriki Kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es Salaam.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM. kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.