Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Asaini Kiatabu cha Maombelizi ya Hayati Dkt. Magufuli Afisi ya CCM Lumumba na Kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM.hudhurib

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara.Ndg. Rodrick Mpogoro, alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa leo 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa leo 
RAIS Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Saba ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
RAIS Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Saba ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
RAIS Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo.20-3-2021
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 
WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. Samuel John Malecela akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisaini Kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Lumumba
WAZIRI Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akisaini Kitabu cha maombelezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufulu aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo. 
RAIS Mstaaf wa Zanzibar wa Awamu ya Sita Mhe.Dkt. Amani Karume akisaini Kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.