Makamanda
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano
Dkt. John Pombe Magufuli wakati wakitoka Ikulu jijini Dar es Salaam na kuelekea
katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay kwa ajili ya Misa ya kumuombea
Marehemu.

Marehemu
Msafara
wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Dkt.
John Pombe Magufuli ukiwasili katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay
kwa ajili ya Misa ya kumuombea Marehemu.
Jeneza
lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya
tano Dkt. John Pombe Magufuli ukiwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay
mara baada ya kuwasili.
Waumini
wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay wakilia wakati Jeneza lenye
mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano
Dkt. John Pombe Magufuli ulipokuwa ukitolewa Kanisani hapo.
Jeneza
lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya
tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali
wa mkoa wa Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Jeneza
lenye Mwili wa Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya
tano Dkt. John Pombe Magufuli ukitolewa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Oysterbay kuelekea uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali
wa mkoa wa Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment