RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara
Suleiman Jijini Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Fitry, baada ya kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
Waumini wa Kiislam Zanzibar wakiwasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kuhudhuria Sala ya Eid El Fitry iliofanyika Kitaifa katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Viwanja vya Maisara Suleiman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Dini
na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya Eid El Fitry,ikisaliswa na Sheikh Rashid
Salim Dau,iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
WAUMINI wa Kiislam wakijumuka katika Sala ya Eid
El Fitry, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani,Sala hiyo imefanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.
Sheikh Abdulraham Said Abdulla akisoma hutuba ya Sala ya Eid El Fitry baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla (hayupo pichani) katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kar\tiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume

WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar

BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wa
Diniu na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa
na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, iliofanyika katika viwanja vya Maisara
Suleiman Jijini Zanzibar.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid El Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulraham Said Abduulla baada ya kumalizika kwa Sala ya Eild El Fitry iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
No comments:
Post a Comment