Habari za Punde

Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Uchangiaji Damu Duniani.

 

Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wataalamu wa Afya na wadau mbalimbali katika Maadhimisho ya kilele cha siku ya wachangia Damu Duniani.
Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdulla (kulia) akimpa cheti cha wachangia damu bora Mwakilishi wa Jumuiya ya Muzdalifa Abdalla Hadhar Abdalla katika Maadhimisho ya kilele cha siku ya wachangia Damu Duniani.
Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdulla akipewa maaelezo na Afisa uhusiano, habari, masoko Damu salama Ussi Bakari Mohd alipokuwa akitembelea watoa damu katika Maadhimisho ya kilele cha siku ya wachangia damu duniani.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu wakisubiri utaratibu ili wachangie damu leo juni 14, 2021 katika maadhimisho ya siku ya wachangia damu Duniani.
Afisa uhusiano, habari, masoko Damu salama Ussi Bakari Mohd akisoma risala ya wachangia damu katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya wachangia damu Duniani iliyofanyika Makao Makuu ya Benki ya damu Sebleni kwa wazee Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.