Habari za Punde

Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar Katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar ilioadhimishwa leo 23-6-2021.katika ukumbi huo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana. kuhudhuria Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar katika ukumbi huo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum ya Heshima kwa Mchango wake Mkubwa katika Kuimarisha Nidhamu ya Uwajibikaji na Uadilifu katika Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman,wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.