Habari za Punde

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MADARASA NA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI HAWA MCHPA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian na viongozi wa  wilaya ya Ruangwa wakati alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Hawa Mchopa kukagua ujenzi wa madarasa na maabara, Juni 6, 2021.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack  (wa tatu kulia) wakikagua ujenzi wa madarasa  katika Shule  ya Sekondari, Hawa Mchopa wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na wananchi baada ya kukagua ujezi wa madarasa na maabara katika Shule ya Sekondari  Hawa Mchopa wilayani Ruangwa, Juni 6, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack.
Wananchi wa Ruangwa wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua ujenzi wa madarasa na maabara katika Shule ya Sekondari ya Hawa Mchopa wilayani Ruangwa, Juni 6, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.