Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe.Othman Masoud Awasili Uwanja wa Ndege Kisiwani Pemba kwa Ziara.

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amewasili katika uwanja wa ndege wa ABEID AMANI KARUME -PEMBA, kuendelea na ziara yake ya kichama katika mikoa minne ya kichama kisiwani pemba.

Akiwasili katika uwanja wa ndege Mheshimiwa Othman amepokelewa na viongozi mbali mbali wa Serikali,Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,  viongozi pamoja na wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.