Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar.

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali akizungumza na kutowa maelekezo kwa watendaji wa Wizara yake wakiwa  nje ya ukumbi wa mikutano ya Baraza la wawakilishi mara baada ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitisha Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.