Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika eneo la Hospitali ya Kanda ya Kusini iliopo eneo la manispaa ya Mikindani Mkoani Mtwara kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini,Mtwara Julai 26,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika eneo la Hospitali ya Kanda ya Kusini iliopo eneo la manispaa ya Mikindani Mkoani Mtwara kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini,MtwaraMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi waliojitokeza katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini, Mtwara iliopo Manispaa ya Mikindani Mkoani Mtwara.
PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS.
No comments:
Post a Comment