Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Amemaliza Ziara Yake Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimali wa Serikali ya Burundi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye  Jijini Bujumbura Burundi baada ya kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya siku mbili Nchini Burundi 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi  Mhe. Evariste Ndayishimiye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye  Jijini Bujumbura Burundi baada ya kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya siku mbili Nchini Burundi leo Julai 17,2021.
 (Picha na Ikulu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.