Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi kwa Mhe Rais Samia

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama baada ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam, na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, wakati wa hafla ya kukabidhi  Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka jana 2020.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage,akiwasilisha Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika Mwaka 2020, wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.(kushoto) na (kulia) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifuatilia ripoti hiyo, ikiwasilishwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Saaam.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa kwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020, na(kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akihutibia katika hafla ya kukabidhiwa kwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka jana 2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
WAJUMBE wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) wakati wa  kukabidhiwa kwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka jana 2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Athuman Kattanga,wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage,(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Da es Salaam.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa,wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage,(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Da es Salaam.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa,wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania Mhe. Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage,(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Da es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kushoto ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Philip Isdor  Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Tanzania na Wajumbe Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kushoto ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Philip Isdor  Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vyama vha Siasa Tanzania.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa hafla ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC) kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka jana 2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania na Viongozi wa Serikali baada ya kumalizika kwa kukabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ya mwaka jana 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, hafla iliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.