Habari za Punde

Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar yaipitia rasimu ya sheria ya kupambana na dawa za kulevya

MDHAMINI wa Mamlaka ya kuzuwia Rushwa na uhujumu uchumi Zanzibar (ZAECA) Suleiman Ame Juma, akichangia katika mkutano wa wadau wa sheria wa kujadili sheria ya dawa za kulevya Zanzibar, mkutano ulioandaliwa na tume ya kurekebisha sheria Zanzibar na kufanyika Gombani hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWENYEKITI wa Tume ya Kurekebisha sheria Zanzibar Khadija Shamte Mzee akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji tume ya kitaifa ya kuratibu na udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar Kanali Burhani Zuberi Nasoro (katikati), kulia katibu wa Tume ya kurekebisha sheria Zanzibar Mussa Kombo Bakar,mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kupitia rasimu ya sheria ya kupambana na dawa za kulevya Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.