Habari za Punde

Waziri wa Habari Vijana na Michezo azindua bonanza la Resi za Ngarawa na Mbio za Baiskeli Tumbe, kisiwani Pemba

WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, akizungumza na wanamichezo mbali mbali katika kijiji cha Tumbe, wakati wa ufunguzi bonanza la mashindano ya Baskeli na Resi za Ngarawa lililofanyika katika fukwe za bandari ya Tumbe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya Ngalawa ambazo zimeingia katika mashindano ya resi hizo, zikisubiri  kupigwa kwa kipenga na kuanza safari ya kutafuta bingwa katika mashindano hayo yaliyofanyika kijiji cha Tumbe, chini ya Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WAZIRI wa Habari Vijana na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, akinyanyua ngalawa juu kuashiria uzinduzi wa bonanza la Resi za Ngarawa na Mbio za Baskeli lililofanyika katika fukwe za bandari ya Tumbe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.