Habari za Punde

Kijiji cha Fukuchani Wafanikiwa Kuwarejesha Skuli Wanafunzi Watoro Kupata Elimu.

KAIMU Mratibu Elimu Mbadala na Watu Wazima'Wilaya ya Kaskazini Á' Unguja Ndg.Abdalla Juma Abdalla, akizungumza na wanafunzi wa skuli ya msingi Fukuchani waliorudi skuli baada ya kutoroka kwa sababu mbalimbali, kutokana na mradi wa kuwarudisha skuli watoto kama hao unaosimamiwa na UNICEF kwa ushirikiano na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Picha na Salum Vuai.
WANAFUNZI wa darasa maalum katika skuli ya msingi Fukuchani Wilaya ya Kaskazini Á' Unguja ,ambao walikuwa wametoroka kwa sababu mbalimbali na sasa wamrudi kupata elimu chini ya mradi wa kuwarudisha watoto skuli unaosimamiwa na UNICEF na kufadhiliwa na Qatar.

Picha na Salum Vuai .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.