Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman Mgeni RasmiN Maadhimisho ya Miaka ya 57 ya Elimu Bila Malipo Uwanja wa Gombani Pemba leo.

MAAFISA wadhamini kutoka taasisi mbali mbali za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatilia maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akiwasilisha salamu za Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Ali Khamis Juma, akizungumza wakati wa maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohamed Said, akizungumza na walimu na wanafunzi wa skuli wa mikao mitano ya Zanzibar, katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othaman Massoud Othaman akiwahutubia Wanafunzi,Walimu na wananchi wa Mikao mitano ya Zanzibar, katika maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani

WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, makatibu Tawala wa Wilaya nne za Pemba, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

WANAFUNZI wa Skuli za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mitano ya Zanzibar, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.

 WANAFUNZI wa Skuli za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mitano ya Zanzibar, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya 57 ya Elimu bila malipo kitaifa mwaka 2021 yamefanyika katika viwanja vya Michezo Gombani Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.