Habari za Punde

Mhe. Rais Samia akisalimiana na Wananchi wa Tegeta na Zinga Bagamoyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Tegeta Jijini Dae es salaam, alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 kwa kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.

Wananchi wa kijiji cha Tegeta jijini Dar es Salaam wakijitokeza kwa wingi kumsalimia,  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 kwa kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.