Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi alipozungumza na wakulima wa zao la mwani Micheweni Kaskazini Pemba

WANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wakulima wa zao la mwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ilioanza jana 31-8-2021.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wakulima wa zao la mwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ilioanza jana 31-8-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Khatib Mshindo mkulima wa Mwani akizungumza changamoto za zao la Mwani wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kuzungumza na Wakulima wa mwani wa Kiuyu mbuyuni jana 31-8-2021.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Kamati ya Kilimo cha Mwani Kiuyu Mbuyuni Bi. Bimkubwa Mkashasha Shaame akizungumzia changamoto za zao la mwani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa ziara yake kuwatembelea wakulima wa Mwani katika Kijiji cha Kiuyu mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba jana 31-8-2021. (Picha na Ikulu)
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB Bw.Toyi Ruvumbagu akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati wa ziara yake kuwatembelea Wakulima wa Zao la Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba Benki ya CRDB itatowa mkopo kwa Wakulima wa Mwani na Vijana wa Bodaboda Pemba.(Picha na Ikulu)
MWANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Hamad Kombo Msolopo akizungumza kero yake wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuzungumza na Wakulima wa Kilimo cha Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri na Mkuu wa Mkoa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni. Wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba jana 31-8-2021.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba .(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.