Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashiriki zoezi la uchumaji na uchambuaji Karafuu katika kambi ya Bw.Ali Ahmed na Said Salim Bagamoyo Mtambwe, Kaskazini Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika zoezi la uchumaji wa zao la karafuu katika moja ya mashamba ya Kijiji cha Bagamoyo Mtambwe, akiwa katika ziara yake kutembelea Kambi ya Bw.Ali Ahmed na Said Salim, ya uchumaji wa Karafuu Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakishiriki katika zoezi la uchumaji wa zao la Karafuu katika Kijiji cha Bagamoyo Mtambwe, katika kambi ya Bw.Ali Ahmed na Said Salim, na kujumuika na wananchi katika uchambuaji wa karafuu katika kambi hiyo.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wakwanza kulia) akishiriki katika zoezi la uchambuaji wa Karafuu katika Kambi ya Bw.Said Salim katika Kijiji cha Bagamoyo Mtambwe, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kuangalia maendeleo ya uchumaji wa zao la Karafuu Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika zoezi la uchambuaji wa Karafuu katika Kambi ya Bw.Said Salim Ali (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Bagamoyo Mtambwe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na wakulima wa zao la Karafuu alipotembelea kambi ya uchumaji na uchambuaji wa karafuu ya Bw.Ali Ahmed na Bw.Said Salim Ali katika kijiji cha Bagamoyo Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakishiriki katika zoezi la uchambuaji wa zao la Karafuu katika Kambi ya Bw.Said Salim Ali, katika Kijiji cha Bagamoyo Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa zao la Karafuu katika Kijiji cha Bagamoyo Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba wakati wa ziara yake kutembelea Kambi ya Bw.Said Salim Ali na Bw.Ali Ahmed.na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk Khatib.(Picha na Ikulu)  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya kumiliki shamba la Mikarafuu Bi.Fatma Abdulrahaman Said, wakati wa ziara yake katika kutembelea Kambi ya Uchumaji wa Karafuu Bagamoyo Mtambwe na (kkushoto kwa Rais) Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo.Bi.Maryam Juma Sadala.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.