Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wadau wa Uwekezaji Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wadau wa Uwekezaji Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha udhamini Meneja Uhusiano Bima Benki ya CRDB –Zanzibar Bi. Hamida Juma, wakati wa hafla ya ufunduzi wa  mkutano wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha udhamini Mwakilishoi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Dr.Camillus Kombe, wakati wa hafla ya ufunduzi wa  mkutano wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha udhamini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Dkt.Muhsin Salim Masoud,wakati wa hafla ya ufunduzi wa  mkutano wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum ya Kuhamasisha Uwekezaji Zanzibar Namba Moja, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Zanzibar Ndg. Shariff Ali Shariff na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar  Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum ya Kuhamasisha Uwekezaji Zanzibar Namba Moja, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar  Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
MTANGAZAJI wa Kituo cha TV cha Clouds 360 Paul James  akiongoza Mada ya  kwanza kuzungumzia Fursa ya Uwekezaji Zanzibar, katika Mjadala wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar na (kushoto) Watoa Mada Bi. Victoria Kamazima Wakali wa Kijitegemea, Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg. Sharif Ali Sharif na Ndg. Masoud Salim  Wakili wa Kijitegemea.
MKURUGENZI Mtendaji wa ZIPA Ndg. Sharif Ali Sharif akitowa Mada kuhusiana na Fursa za Uwekezaji Zanzibar, wakati wa Mjadala wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) na (kulia) Bi, Victoria Kamazima na (kushoto) Ndg. Masoud Salim.
WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kufungua Mjadala wa Uwekezaji wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
MKURUGENZI Mtendaji wa ZIPA Ndg. Sharif Ali Sharif akitowa Mada kuhusiana na Fursa za Uwekezaji Zanzibar, wakati wa Mjadala wa Big Breakfast uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mjadala kuhusiana na Fursa ya Uwekezaji Zanzibar, ikiwasilishwa Mada hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Zanzibar Ndg. Sharif Ali Sharif (hayupo pichani) na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Zanzibar.
(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.