Habari za Punde

Rais Samia afungua kongamano la Wachungaji na maaskofu na maadhimisho ya miaka 50 ya Anglikana Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Maadhimisho  ya Miaka 50 Kanisa hilo katika Viwanja vya Chuo Kikuu ST. John’s Jijji Dodoma leo Sept 28,2021.
PICHA NA IKULUNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.