Habari za Punde

Mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi

Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Africa Franchising Accelerator  Wambugu Wagichohi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika  mafunzo kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.

Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Africa Franchising Accelerator  Wambugu Wagichohi kulia akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.


 Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika hafla ya mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.


PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.