Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ashuhudia utiaji Saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya  utiaji Saini  Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/11/2021.
Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya  utiaji Saini  Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/11/2021.
Kaimu Jaji Mkuu wa Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla,Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said,Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na ,Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali ni Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla   utiaji Saini  Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency  hafla  iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/11/2021.  
Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya  utiaji Saini  Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/11/2021.
Baadhi ya Viongozi na wageni mbali mbali walioalikwa katika hafla ya  utiaji Saini  Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali mwinyi (katikati) akishuhudia utiaji Saini  Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency  (kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Nd,Amour Hamil Bakari na Mkurugenzi Bishara wa Kampuni ya EGIS Bw.Cristian  Laugier  hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 24/11/2021.

 Mabalozi wadogo wanaoziwakilisha Nchi zao hapa Zanzibar wakiwa  katika hafla ya  utiaji Saini  Mkataba wa Mashirikiano ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baina ya Wizara ya ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi na Dubai National Air Travel Agency iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 24/11/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.