Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt Ikulu leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akimsikiliza mgeni wake  Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa marungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzinar  akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.