Wajumbe wa Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwasili katika viwanja vya Mradi wa Ujenzi wa Mahkama Kuu Tunguu Zanzibar Wilaya ya Kusini Unguja kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi huo.
Wajumbe wa kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za serikali ya Baraza la Wawakilishi wakipitia baadhi ya nyaraka zinazohusu matumizi ya mahakama kuu katika mwaka 2019/20 kufuatia hoja zilizotolewa na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali.
Wajumbe wa kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesabu za serikali ya Baraza la Wawakilishi wakiwasili katika Tunguu kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Mahakama kuu ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment