𝗠𝗛𝗘:𝗠𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗟𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗘 𝗔𝗠𝗢𝗨𝗥 𝗞𝗛𝗔𝗠𝗜𝗦 𝗠𝗕𝗔𝗥𝗢𝗨𝗞 ,,,,leo tarehe 24/12/2021 amefanya kikao cha wadau wa maendeleo ya tumbe kwa kuwashirikisha jumuiya zote , kamati zote pamoja na makampuni ya ununuzi wa mwani ,,,, lengo la kikao nikujadili fursa zilizopo katika mji wa wa tumbe na kuwataka tuwe na ushirikiano wa pamoja panapo hitajika kwa maendeleo ya tumbe ,,,, kikao pia kimeridhia kwa pamoja kuundwa kamati tendaji ya tumbe itakayo pitia na kuratibu mambo yote ya tumbe na kufikisha kwa wananchi ,,,,,𝘁𝘂𝗻𝗮𝗺𝗽𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗵𝗲: 𝗔𝗺𝗼𝘂𝗿 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮𝗱𝗵𝗮𝗺𝗶𝗿𝗮 𝗻𝗷𝗲𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮𝘂𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘄𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗮𝗹𝗶 𝗶𝘁𝗶𝗸𝗮𝗱𝗶 𝘇𝗮𝗼 ,,,,,,,𝗕𝗬 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗟𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗕𝗘 ,,,𝗛𝗔𝗠𝗔𝗗 𝗝𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗨𝗗
MAWAKALA WA MILKI NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI
-
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA
Mawakala wa Milki nchini wametakiwa kujisajili katika mfumo wa Wizara ya
Ardhi ili kuingia kwenye mfumo rasmi utakao...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment