Habari za Punde

Mhe. Rais Samia akishiriki mkutano maalum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano Maluum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021,  Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) walioshiriki katika Mkutano Maluum wa 18 uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.