Habari za Punde

Semina ya Kuhusu Uchumi wa Buluu Zanzibar.

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said akifungua semina ya siku moja ya Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ, yenye lengo la  kukusanya maoni kuhusu Sera ya Uchumi wa Buluu, kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo UNDP Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Wilaya Kaskazini “B” Mkloa wa Kaskazini Unguja.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dkt.Aboud Suleiman Jumbe alipokuwa akizungumza katika semina ya siku moja kwa Makatibu Wakuu  wa SMZ yenye lengo la  kukusanya maoni kuhusu Sera ya Uchumi wa Buluu,chini ya Ufadhili wa Shirika la Maendeleo la UNDP Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Wilaya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Mhe.Abdalla Hussein Kombo alipokuwa akimkaribisha Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said kufungua semina ya siku moja ya Makatibu Wakuu wa Wizara za SMZ, yenye lengo la  kukusanya maoni kuhusu Sera ya Uchumi wa Buluu, kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo UNDP Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Wilaya Kaskazini “B” Mkloa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Makatibu Wakuu na Watendaji wengine wakimsikiliza Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (hayupo Pichani) alipokuwa akifungua semina ya siku moja kwa Makatibu Wakuu  wa SMZ yenye lengo la  kukusanya maoni kuhusu Sera ya Uchumi wa Buluu,chini ya Ufadhili wa Shirika la Maendeleo la UNDP Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Wilaya Kaskazini “B” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la UNDP Tanzania Abass Kirobo  alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Makatibu Wakuu wa SMZ katika semina ya siku moja kuhusu utoaji wa maoni katika Sera ya Uchumi wa Buluu mbayo imefadhiliwa na Shirika hilo kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Wilaya Kaskazini “B” Mkloa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 11/12/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.