Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Akiongoza kikao (Maalum) cha kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo Jumapili tarehe 16 Januari, 2022 Afisi Kuu CCM Kisiwandui.
Baadhi ya wajumbe wa kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa wakipitia dondoo za kikao cha kamati hiyo kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein

Naibu Katibu Mkuu wa CCm Dr Abdullah Mabodi akisoma risala kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kukiongoza kikao (Maalum) cha kamati Maalum ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo Jumapili tarehe 16 Januari, 2022 Afisi Kuu CCM Kisiwandui.
No comments:
Post a Comment