Habari za Punde

Hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima

Baadhi ya Watoto na Wazazi waliyohudhuria katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim akitoa maelezo kuhusu Taasisi hiyo, katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim akitoa maelezo kuhusu Taasisi hiyo, katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi , Mhandisi  Zena Ahmed  Said,akimkabidhi Begi la Skuli, Fomu  na Vifaa vyengine Mtoto Zahor, ,(Kulia ) ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim, hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, imefanyiaka  Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar. 

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi , Mhandisi  Zena Ahmed  Said, akipiga Picha na Mtoto Nassra baada ya kumkabidhi Begi lenye Vifaa vya Skuli ndani yake,(Kulia ) ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim, katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi , Mhandisi  Zena Ahmed  Said, akipiga Picha na Mtoto Zakaria Omar, baada ya kumkabidhi Begi lenye Vifaa vya Skuli ndani yake,(Kulia ) ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim, katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi , Mhandisi  Zena Ahmed  Said, akipiga Picha na Mtoto Saidi Kassim Mohammed, baada ya kumkabidhi Begi lenye Vifaa vya Skuli ndani yake,(Kulia ) ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim, katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi , Mhandisi  Zena Ahmed  Said (kulia), akikabidhi fedha shilingi milioni Moja , kwa niaba ya Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mama Sharifa Omar Khalfan, kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taqwa Dkt. Salha Mohammed Kassim, kwa kuichangia Taasisi hiyo. katika hafla ya Ugawaji wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, huko Ukumbi wa Skuli ya Nasari Saateni Mjini Zanzibar.

    (PICHA NA MARYAM KIDIKO – HABARI MAELEZO.)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.