Habari za Punde

Rais Mhe. Samia ashiriki Mkutano wa Dunia wa kusherehekea Mafanikio ya Miaka 10 ya Tamko la London uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Dunia wa kusherehekea  Mafanikio ya Miaka 10 ya Tamko la London na Kuzindua Tamko la Kigali uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani leo tarehe 27 Januari, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.