Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aelekea Mwanza kuhudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM Musoma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama  pamoja na Wazee wa Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Kiembesamaki Zanzibar wakati wakiondoka kuelekea Mkoani Mwanza ambapo atahudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM Musoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kulia) pamoja na Viongozi wengine wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Kiembesamaki Zanzibar wakati wakiondoka kuelekea Mkoani Mwanza ambapo atahudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM Musoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini kuelekea Musoma Mkoani Mara.  akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM  Mwanza  pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini kuelekea Musoma Mkoani Mara.  akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM.[PICHA NA IKULU] 04/02/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.