Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika ufunguzi wa jengo la kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mnazi Mmoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na  Viongozi wakati alipowasili katika ufunguzi wa jengo jipya la kuhifadhia maiti Hospitali ya Mnazimmoja.Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.DK.Hussein Ali Mwinyi (wapili kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto The.Nassor Ahmed Mazrui kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la kuhifadhia maiti lililojengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Zanzibar CableTV hafla iliyofanyika leo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Jioni Zanzibar.Picha na  Ikulu.
Mashine za kuhifadhia maiti zilizomo katika jengo jipya lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ambalo limejengwa kwa Ufadhili wa Kampuni ya Zanzibar CableTV.Picha na Ikulu

Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kufungua mtambo wa  kusafisha  Maji Chumvi kuwa Safi na Salama katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo (kulia) Dr.Hemed Beheshti Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Boreal light ,Water Kiosk &Winture na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii, Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.Picha na Ikulu.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.