Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya-Dubai, UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania Beatrice Singano mara baada ya mazungumzo na viongozi hao wa Kampuni ya Airtel Afrika leo tarehe 27 Februari, 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania Beatrice Singano mara baada ya mazungumzo na viongozi hao wa Kampuni ya Airtel Afrika leo tarehe 27 Februari, 2022 Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.