Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mama Fatma Karume alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja leo tarehe 09 Machi, 2022.
Mke wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mama Fatma Karume akisisitiza jambo wakati akiongea na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja leo tarehe 09 Machi, 2022.
No comments:
Post a Comment