Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Ajumuika na Wananchi Katima Matembezi na Mazoezi ya Viungo Viwanja vya Bumbwini Makoba Mkoa wa Kaskazini Unguja.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi akiwa katika Matembezi ya Mazoezi ya viungo  ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba kwa ajili ya mazoezi ya pamoja na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,ikiwa ni muendelezo wa ratiba yake ya kila mwisho wa mwezi kujumuika na Wananchi katika matembezi na kumalizia kwa mazoezi ya viungo
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita Tano  yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba,Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mama Asha Shamsi na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakishiriki katika matembezi hayo
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba,Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakishiriki katika matembezi hayo ya kilomita Tano
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi ya Kilimota Tano yalioazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizia kwa mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi ya Kilomota Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizia kwa mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kwa mazoezi ya pamoja
WANANCHI wa Kijiji cha Bumbwini wakimsalimia Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa akiwa katika matembezi ya kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja leo 28-5-2022. Kwa kujumuika na Wananchi na Vikundi vya mazoezi vya Mkoa wa Kaskazini Unguja katika mazoezi ya viungo.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi ya Kilomota Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizia kwa mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kwa mazoezi ya pamoja
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira vya Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo na (kulia kwake) Mama Asha Suleiman, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi na Vikundi vya mazoezi ya viungo vya Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika mazoezi ya pamoja yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwake) Mama Asha Shamsi wakijumuika katika mazoezi hayo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi na Vikundi vya mazoezi ya viungo vya Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika mazoezi ya pamoja yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwake) Mama Asha Shamsi wakijumuika katika mazoezi hayo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani



MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi na Vikundi vya mazoezi ya viungo vya Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika mazoezi ya pamoja yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwake) Mama Asha Shamsi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa, wakijumuika katika mazoezi ya pamoja baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani.

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba baada ya kumaliza kwa mazoezi ya viungo yaliyoenda sambamba na matembezi ya kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizika katika viwanja hivyo kwa mazoezi ya viungo ya pamoja.


WANANCHI wa Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja wakishangiria wakati Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa matembezi na mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba leo 28-2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.