Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Aondoka Nchini Akielekea Nchini Ghana kwa Ziara ya Kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka kuelekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka kuelekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo tarehe 23 Mei, 2022
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.