Habari za Punde

Kikosi cha Klabu ya Small Simba Zanzibar Moto Small Kilichotikisa Ligi Kuu ya Muungano Tanzania.

Kikosi Kabambe cha Timu ya Small Simba kilichokuwa chini ya Kocha Msoma Mdogo Abdughan na kuweza kuweka Historia ya mchezo wa Mpira Zanzibar na Tanzania Bara katika Michuano ya Ligi Kuu ya Muungano, kulita upinzani kwa Timu za Simba na Yanga katika michuano hiyo katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.