Habari za Punde

Mzanzibar Mtanzania Pekee Anaeshiriki Mashindano ya Mbio za Kuzunguka Dunia na Boti ya Upepo (Tanga) (Clipper Race) Nassor El Mahruki Awasili Panama

Mzanzibar Nassor El Mahruki akiwa katika boti yake akiendelea na mashindano ya Boti za Upepo kuzunguka Dunia.

Nassor El Mahruki anaezunguka dunia kwa mashindano ya boti za upepo (Clipper Race) Awasili Panama 

Nassor El Mahruki anaezunguka dunia nzima kwa mashindano ya boti ziendazo kwa upepo (Clipper Race) Awasili Panama akitokea Seattle Washington, Kuelekea New York City 

Baharia Nassor El Mahruki ni Mfanyabiashara anaetokea Zanzibar Tanzania, ambae pia ni Mtanzania wa kwanza kuzunguka dunia nzima kwa mashindano hayo ya (Clipper Race) 

Tafadhali Subscribe, Like na Share,  Channel Zetu za Swahili Villa Online TV | American Swahili New, kwavipindi vijavyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.