Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amekutana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo Mhe. Juma Duni Haji.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha ACT - Wazalendo, Mhe. Juma Duni Haji kabla ya mazungumzo yao, yaliofanyika ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti  wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji  baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, jana Juni 8, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.